Thursday, 10 November 2016

Mi naumwa nakichwa nikisikitika juu ya viongozi wetu wa county na national government at large, mbona munashindwa kufafanua msemo rahisi wa wahenga kuwa.. Mtu akikuomba ASALI muonyeshe jinsi ya kutengeneza muzinga....!!! Just imatgine ma dear friends, ati kiongozi anaitana watu waende kuchukua msaada wa mahindi-2kg, maharagwe-1kg, mafuta uto- 1/2of 1/4.. Sawa na hawa watu walienda kwenye kituo kuanzia saa NNE wamerudi 5,. Sina shida na hilo but badala ya kufikiria juu ya kuwaletea watu msaada mbona usitafute jinsi utatusaidia juu ya rain water harvesting na kuletea watu watalamu wa kilimo wafundiswe juu ya kujilimia chakula chao wenyewe? Tujifunze na Israel na wengi washaenda kujionea huko kwa pesa ya mlipa ushuru, he walpofudi waliojifunza mbona hatuyaoni.

No comments: